Mahesabu info

Mahesabu ni programu inayokuwezesha kurekodi data katika biashara au shughuli za kila siku kimpangilio kulingana na tarehe katika majalada. Mfano unaweza rekodi kila ulichouza na bei yake na mwisho wa siku unaweza tafuta jumla ya mauzo yote katika jalada. Pia unaweza kutumia programu hii kutafuta wastani wa rekodi zote katika jalada husika. Kwa maelezo zaidi fungua msaada katika programu hii, pia unaweza tembelea tovuti yetu.

Leave a Comment